Header Ads

test

Picha 12 za Diamond kwenye Interview ''Jogoo Fm'' ndani ya Songea

 
Hapa akisalimiana na Presenter wa Jogoo Fm

Akisikiliza swali kwa umakini kutoka kwa mmoja ya watangazaji...
Mmmmh! aliulizwa kwa umakini sanaaaaa!


Akijibu swali la msikilizaji aliyepiga sim,nakutaka kujua anawasaidia vipi
wasanii wanaochipukia..
Akiendelea kujibu maswali....

Doooh! Maswali mengine bhana! Ilinibidi acheke....
Mnyama Moses Kunambi alikuwa ndani ya nyumba...
Maswali ya wasikilizaji yalikuwa pasua kichwa Mmmmh! ni vicheko kila wakati      
Hapa Akiwa na Mkurugenzi wa Jambo Lee Club
Wakipitia baadhi ya sms za wasikilizaji...
Akisikiliza swali kutoka kwa Msikilizaji...
Wasafiiiii!