Header Ads

test

BELLA KOMBO WA BONGO STAR SEARCH AOKOKA

 


Baada ya first runner up wa BBS season four ambaye pia ni third runner up wa BBS All Star Version iliyofanyika mwaka jana kushindwa kufanya vizuri kwenye bongo flava sasa ameamua kumuimbia BWANA. 

 Kwa mujibu wa source wa BK ni kuwa mama yake na Bella Kombo  who was born in May 20, 1992 aliamua kumzuia bintiye kufanya mziki wa kidunia kutokana na kushindwa kwenye Bongo Star Search na pia kushindwa kufanya vizuri hata kipindi akiimba Machozi Band.
 
 Bella ambaye ngoma aliyoshirikishwa na Peter Msechu ya "Waniumiza Roho" inafanya vizuri kwenye radio waves  alifunguka hivi, "Kwa sasa nimeamua kufanya gospel, nahitaji kumtumikia muumba wangu sana kitu ambacho nahisi sintoweza kukifanya nikiwa nafanya bongo flava"
 
Ni maamuzi yako mwenyewe  au umeshinikizwa?
 "Siwezi kusema ni shinikizo, but my mom ndiye aliyeniita na kunishauri kuhusu kuachana na nilichokuwa nakifanya na kuweza kumsifu Mungu".

 chanzo cha habari baabkubwa blog