Header Ads

test

OKWI AND SINTAH NI WAPENZI?

 

Baada ya kufanikiwa kuiwezesha Simba SC kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania, stricker mwenye kutupia jersey namba 25 yaonekana  sasa yuko in love with Sintah who used to be Juma Nature's girlfriend.
Kwa taarifa yako ni kuwa penzi la Emanuel Okwi na Christine John "Sinta" who proclamed herself as JLo wa Bongo liko wazi wazi hakuna cha kuficha even followers wa two some hawa kwenye Twitter knows bout this.
 "OMG!  nani kawaambieni uwa mie na-date na Sintah? she use to be my close friend toka akisoma nchini kwetu UG, but is there any problem kama nikiwa na mahusiano ya kimapenzi nae?" aliuliza Okwi ambaye aliwahi kuichezea APR ya Rwanda baada ya kutwangiwa phone na Baab Kubwa magazine cop.
Lakini side B kwa Sintah ambaye kwa sasa ni co-host wa show iitwayo "Hatua Tatu" alongside Steve Nyerere at Times FM  ilikuwa hivi, "Jamani Okwi ni mshakaji wangu wa karibu, nilikuwa karibu nae toka na-xul Uganda but tukapotezana baada ya yeye kwenda kucheza Rwanda ambapo hivi majuzi  mwenyewe ndio kanitafuta akitaka kunijulia hali"- alitok Sintah.
Haikupita dakika kadhaa, Sintah called back asking about alichokisema Okwi, "Jamani simniambie amesemaje nifurahi jamani, niambieni kama kasema ananipenda au kama kanikana jamani?"
 Okwi uko tayari kutunga nyimbo kama alivyofanya Nature?

source Baabkubwamagazine.com