Header Ads

test

JAY Z AMLIPIZIA KANYE WEST KITENDO ALICHOMFANYIA TAYLOR SWIFT

 

alt
Alishangaza na kuwakasirisha wengi in 2009 when he ruined Taylor Swift's big moment at the MTV Video Music Awards.

Kwa bahati nzuri malipo hulipwa hapapa duniani, Kanye West got a taste of his own medicine kwenye BET Awards juzi usiku.

The 35-year old rapper alienda jukwaani pamoja na Jay Z kuchukua tuzo ya Best Video Of The Year award for the pair's track "Otis".

Akiwa ameanza kutoa speech yake akisema, "Napenda kuwashukuru BET......' Jay Z akamstopisha, na kusema "Excuse me Kanye I am going to let you continue....'
 

Kwa kusema hivyo Beyonce's hubby alikuwa akikumbushia kitendo cha Kanye ambaye aliinuka kutoka kwenye seat yake na kwenda on stage wakati Taylor Swift alipokuwa akitoa speech yake kwenye 2009 MTV Music Awards.

He took the microphone wakati muimbaji huyo wa Country music alipokuwa akijaribu kutoa shukrani kwa kushinda tuzo ya Video bora ya mwaka, na Kanye akasema award hiyo ilibidi iende kwa shemeji yake - Jay's wife Beyonce, for
Single Ladies.


alt 

 Kitendo cha Jay Z juzi usiku kiliwafanya audience waliodhuria show wacheke sana , na Kanye West akacheka sana na kumwambia his big bro: "I was trying to defend your girl man!" akimaanisha Beyonce, ambaye nae alionekana kucheka sana tuki hilo