Header Ads

test

Wema Sepetu with Omotola in Family day at Giraffe View Hotel

Omotola & Wema Sepetu wakiingia ndani ya Girrafe View Hotel

 


 Hapa Wema alikuwa akimwambia kwa kizungu kile ambacho MC alichokuwa akikizungumza

Ben Kinyaiya, Omotola & Wema Sepetu, hapa alikuwa Omotola akizungumza na watanzania waliofika katika Hotel ya Giraffe

Babuu wa kitaa aka Babu Bomba akiwakaribisha mabibi Bomba kwa steji wapite kama Mamiss

 


 


 


 Mtoto huyu alikuja mbele na kuchukua picha za kumbukumbu katika iPad yake

 Baada ya hapo huyoooo akajikata zake, hana habari na mtu hahaa

 


 Jasmin & Zamda


 


 


 


 Chezea Vuvu wewe


 


 



 


 


 


 


 

 


 

 Ma boy Tiny Dad, Abou, Ben Kinyaiya & Radhy

picha zote kwa Hisani ya dj choka