Header Ads

test

Diamond platinumz Ndani ya A-Town

Hapa ni nje kidogo ya Reseption...

 

Platnumz...
Akifanya booking ya chumba...

Akiwa chumbani


Hisia zinampeleka mbali sana! 

Akikagua jukwaa mapema kaba ya show... 

Akifundishwa kupiga vyombo vya muziki na Boss Ruge Mutaba...



Akiendelea kupata somo kwa upande wa upigaji Drams...























Hajasahau kugonga kiki ni muhimu sana...
Maandalizi ya jukwaa yakiendelea...
Upangaji wa viti ukiendelea....

 

Akitupia unyama wakena Usafi uendelee!


 Perfume kwa sana tu,msafi tena nisinukie mmmmh!
 Navaa hii unauliza tena!?

 Tulia basi nimalize kutupia kitu cheusi utoecomment yako!


 Kuna mwenye swali tena?

 Baaaaaaaasi!

Wasafiiiiii!




 



Meneja Papaa na Tino Muya walikuwepo pia...

Wasafi  juu ya Steji

Nilikuwa sijui kamwambiee....

Ngoja navue koti awaonyeshe unyama...

Regremaa! Regremaa!

Twende kazi sasa






Msinione nalia,mwenzenu nalia na mwengi!


Eti nani amenunaa? nauliza nani amenuna?

Miguu ya Bia sasa ilipendezajee?

Unyama Unyamani tu,hapa kazi....

wakielekea  chumbani baada kufanya show....

Wasafi wote wako hoi,kwa kazi nzuri/nzito iliyofanyika kwenye steji....

Wakipewa  pongezi kutoka kwa Papaa.