Header Ads

test

Jinsi ninavyo mfeel huyu jamaa Vodacom in Moro` ilikuwa hivi

Akiutizama mji wa moshi kwa umakini ili arudi Dsm  

BBM na Twitter kama kawaida.
Sikilizeni niwaambie wasafi wangu hii show sio ya kitoto
fanyeni kweli.
 Ommy Dimpozi wakisalimiana:

Dimpozi & Platnumz
 
Diamond na Fans wake
Mida ya kazi sasa utani pembeni....

Nimpende nani?
Mnasemaje nimpende nani? au nimewasikia vibaya?
B12 & Zero Eti raia wanasema nimpende yule dada mwenye.....?
Fans
Nawaogopa sana watoto wa mjini wasije wakaniliza.....
Fans
Eti nani amenuna? Nauliza nani amenuna? Baaaaaaaasi!
New style 
''Nimemaliza''
Baada ya kazi vijana wakijipongeza 
Mmmmh! Mdogo wangu vp mbona umeninunia 
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu!
B12 hii show ilikuwa tayt Weeeeeeeh!
 
Fans wakilichungulia gari walilopanda akina Diamond plaitunumz
Kimenuka tayari ngoja niamke niwasalimie yaishe....

 

 Kwa hisani ya diamond platinumz blog