Header Ads

test

Miss Kilimanjaro Mo-Town


Licha ya kumthamini kama shilingi lakini bahati sina.....



 Watoto wa kike ukipiga uno wanafuraaaaahiiii


 Nimpende nani Eeeeh!?


Nina mawazo Mamaa! 

akiwa anatunzwa

Noti zikimiminika kwenye jukwaa la Platnumz......

JB akimimina pesa huku Diamond platinumz analia na moyo wake.....

Ila watu wa moshi walitisha sana kwa kutunza...

Vijanawa Diamond bwana wanakuaga fasta kwenye kuchkua mpunga show wakimaliza show tu.

chumba alichofikia diamond

akiwa kwa bed kabra ya shoo kuanza

Babu eeeh kaz na dawa

Timu nzima ya Bongo Movie haikuwa nyuma ikiongozwa na JB.... 

 Miguu ya bia sasa pale kati Mmmmmh! Wakubwa wanafaidi

Irene Uwoya akitoa shavu kwa Mashabiki,alipendeza eeeeh!?

Snura akitema cheche kwa raia.......Nyerere pembeni kama anamtamani hiv

Rich Rich kama kawa hakukosa....

Steve Nyerere akimkaribisha JB kusema na FANS......

Steve Nyerere akimkaribisha Ray Kigosi Jukwaani

Haka kajamaa bwana kana makeke sana yaani nikimuonaga tu lazma nicheke

Mc alikua ni Masanja Mkandamizaji

mnh! Masanja huu uMC wako sasa umezidi..