Header Ads

test

UZINDUZI WA FILAMU YA RICHIE


Kama kawaida ya Bongo Movie utengano kwao ni dhaifu na umoja kwao ni nguvu hii ni kauli mbiu ya Club ya Bongo Movie Unit waliongozana na mmoja wa wanachama wa Bongo Movie bwana Richie msanii nguli wa tasnia ya filamu bongo kwenda kuzindua sinema yake inayokwenda kwa jina la Chaguo Langu ndani ya merarani..

Wasani wa bongo movie wakiwa ndo wamewasili katika Air port ya Moshi wakitokea Dar es salaam wakijiandaa kwenda Mererani ambao ni Irene Uwoya wa kwanza kushoto,Shilole wa kati na Hatman Mbilinyi wa kulia.

 JB mwenyekiti wa Bongo movie.
 Steve Nyerere.

Single Mtambarike alikuwa mwenyeji wetu kwenye safari hiyo. 

Vile vile waliweza kukutana na washiliki wa Miss Kilimanjalo wa mwaka 2012.

Wasanii pamoja na mamiss

walipata mualiko wa kupata kifungua kinywa katika mgahawa flani hivi na hapa mmiliki wa mgahawa huyo akitoa shukrani zake kwa wasanii na mamiss kwa kukubali kuitikia wito wake

Sasa ulifika muda wa kuelekea Mererani kulikuwa kuna watu wengi sana wakiwasubili kwa hamu kubwa.
 Jb akisalimiana na wananchi wa Merarani
 Watu wa Mererani walifurahi sana walipowaona na walipokelewa vizuri.
  Hayo ni machimbo ya Merarani na hao watu mnaowaona ni wachimbaji wa madini ya Tanzanite maarufu kama (Wanaapolo)

  Waliweza kutembelea baadhi ya maeneo ya migodi iliyoko maeneo hayo.

  Wakiwa ndani kwenye shimo mojawapo.

 Matembezi yaliendelea.

Wakiwa na wanaapolo machimboni..

  Wakipata chakula pamoja na wenyeji wao.


Misosi ya kumwaga.
 Ulifika mda wa kwenda kuzindua filamu Yao ya Chaguo Langu wakiwa na Bongo Movie, The Greatest akiongoza Jahazi hilo katika ukumbi wa songa mbele ulioko Maeneo ya Mererani.

 Ratiba zikiendelea.

 Wana Bongo movie wakisalimia mashabiki waliofika ukumbini hapo

 The Greatest.


 Mda wa show ulifika Richie aliweza kufungua show

 Jb bonge la bwana akipiga mastaili ya kufa mtu
  Ray the greatest akiwa kwa jukwaa

  Ray na Steve Nyerere wakicheza

 Mamiss wa Kilimanajaro mwaka 2012 nao walipata muda wa kusalimia wananchi wa Merarani  
 
source Blog spot ya Rey mwenyewe