UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU - SUPERSTAR
| Wema Sepetu "Superstar" |
| Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao |
| B dazen na wezake nao |
![]() |
| Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda |
![]() |
![]() |
| Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu |
![]() |
| Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee |
![]() |
| Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV |
![]() |
| Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo |
![]() |
| Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema |
![]() |
| Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere. |
![]() |
| Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii. |
![]() |
| Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria. |
![]() |
| Omotola akiwa na Miriam Odemba |
Picha zote kwa hisani ya Babkubwa magazine











Post a Comment