Header Ads

test

PICHA 11 ZA DIAMOND AKIWA MIKASI SHOW

Hapa akiandaliwa kwaajiri ya kufanyiwa makeup......
Unyama ukiendelea......
After makeup tupia shade sasa usafi ukamilike......
Loud and clear kwa mic sasa......
Tayari kwa Interview......
Camera roll and action.....
Maswali ya Salama pasua kichwa!!!!!!!!
Hahahahaa! Salama bhana swali la kizushi nomaaaa!!!!

Hii ni alama ya Mkasi jamani maana hamkawii kusema ni Freemason
Pozi kwa pozi na Mzee wangu pale kati

Akiwa na Fans wake baada ya kipindi

Viatabu vinasema ukiwa karibu na watoto basi sikuzote Malaika wenye neema na baraka watakuwa karibu nawe,nawapenda sana watoto wadogo alimalizia kusema