Header Ads

test

.DIANA HUSSEIN AFANIKIWA KUNYAKUA TAJI LA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012

 Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam 


 
  Hawa ndiyowarembo wa Tano Bora wakiwa na Miss Dar Indian
 Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora.
Warembo waliofika 10 bora kabla ya kuingia kwenye mchujo wa kutafuta tano bora.
*Keep refreshing the page mambo yote yanakuja...ni Miss Dar Indian Ocean 2012...