Header Ads

test

BIBI BOMBA NDANI YA MAISHA CLUB


 
Bob Junior akiwa  na bibi Bomba
 
 
 Bibi Bomba ni show iliyoanza hivi karibuni na baada ya kuwatafuta mabibi hao wamewekwa wote kwanye jumba la pamoja na mwisho wa shindano atachaguliwa bibi mmoja mkali na aliye Bomba kuwazidi wenzake. Pichani ni msanii wa Bongo Fleva Bob Junior aliwatembelea mabibi hao.

 

Babuu wa Kitaa ndio Host wa kipindi hicho cha Bibi Bomba kinachorushwa na Clouds TV pichani akiwa anacheza mziki na mabibi hao .


 
 Ben Kinyaiya alikuwepo na alifungua shampen kwa mabibi zetu hao

 
 
 Hapa bwana hakuna mtu aliamini kama mabibi hao wanajua kuimba vizuri hadi wengine kutumbua mijicho

safiii 
Picha kwa hisania ya Dj choka