Header Ads

test

EXCLUSIVE: MR.BLUE NA WAHEEDA WAPATA MTOTO WA KIUME

 

 Ukiwa ulikuwa unafahamu kuwa Girlfriend wake  Mr.Blue aitwaye Waheeda kuwa mjamzito, now once again we have an exclusive infos for u.

Usiku wa kuamkia leo, mwanadada Waheeda amejifungua salama mtoto wa kiume katika hospitali ya Kinondoni majira ya saa nane usiku.

Akiongea na Bab kubwa magazine Mr.Blue ambaye few hours ago ali-realease his new video alisema:

"Alhamdulilah namshukuru sana mwenyezi mungu amemjaalia mpenzi wangu Waheeda kujifungua salama mtoto wa kiume. Mama na mtoto wote wapo kwenye afya njema kabisa. Nimempa mwanangu jina la baba yangu "Sameer" ili kumuezni mzee wangu ukizingatia mie pekee ndio mtoto wa kiume kwetu. Kiukweli nina furaha isiyoelezeka juu ya hili lakini zaidi na zaidi namshukuru sana mungu."