STEVE NYERERE AKABIDHI FILAMU YAKE YA MWL NYERERE KWA MAMA MARIA NYERERE
Mwigizaji wa filamu nchini Stive Mangele 'Stive Nyerere jana alikuwa anakabidhi filamu yake ya Mwalimu Nyerere kwa Mama Maria Nyerere ikiwa kama shukrani zake, baada ya mama huyo kumsaidia katika kukamilisha filamu hiyo ambayo aliifanyia Butiama. Stive alisema kwamba kumpa filamu hiyo ni kuweka kumbukumbu kwamba, anathamini msaada na mchango wake katika filamu hiyo na hana kikubwa cha kumpa wala cha kumfanyia zaidi.
Mama Maria Nyerere akionyesha filamu hizo alizokabidhiwa na Steve Nyerere
Amesema
Mama Maria Nyerere alimsaidia sana katika kumuonyesha vitu gani mwalimu
alikuwa akifanya, na vitu gani mwalimu alikuwa akivipenda, na sehemu
ambazo mwalimu alipenda kukaa baada ya kazi zake. Pia ametoa shukrani
kwa wasanii wenzake ambapo walijitahidi katika hali moja au nyingine
kuhakikisha filamu hiyo ili ikamilika.
chanzo cha story dj choka blog
chanzo cha story dj choka blog
Post a Comment