KITAA KINALALAMIKA VIDEO YANGU HAIKUTENDEWA HAKI SASA NAISHOOT UPYA "TUNDA MAN"
Nilipofika eneo hilo alilokuwa akishoot maeneo ya Kijitonyama Sayansi aisee nilikutana na vyombo hatariiiii nazungumzia wasichana ambao wataonekana wakicheza katika video hiyo, stay tune ujionee mwenyeweeeee
HII NDIO VIDEO ILIYOFANYWA MARA YA KWANZA NA VISUAL LAB
source Dj choka Blog
Post a Comment