EVENTS
Diamond platinumz Ndani ya A-Town
Hapa ni nje kidogo ya Reseption... |
Platnumz...
|
Akifanya booking ya chumba... |
Akiwa chumbani |
Hisia zinampeleka mbali sana!
|
Akikagua jukwaa mapema kaba ya show...
|
Akifundishwa kupiga vyombo vya muziki na Boss Ruge Mutaba... |
Akiendelea kupata somo kwa upande wa upigaji Drams...
|
Hajasahau kugonga kiki ni muhimu sana...
|
Maandalizi ya jukwaa yakiendelea... |
Upangaji wa viti ukiendelea.. |